Siwezi kugombana na Chege - Juma Nature
Msanii mkongwe nchini Tanzania, Juma Nature maarufu kama 'Kiroboto' amefunguka na kusema hajawahi kugombana na msanii mwenzake Chege Chigunda kama watu wanavyofikiri kuwa mwanamke ndiyo amewafanya washindwe hata kusalimiana wawili hao.