ELIMU Rais Mstaafu na Mjumbe Maalum wa Kamisheni ya Kimataifa ya Kugharamia Fursa za Elimu Duniani Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amekamilisha ziara yake ya kuhamasisha utekekezaji wa Ripoti ya Kamisheni hiyo katika nchi 15 Barani Afrika Read more about ELIMU