Mtanzania kuchezesha AFCON ya vijana
Mwamuzi Mtanzania Frank John Komba ni miongoni mwa waamuzi walioorodheshwa kuchezesha michuano ya Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 (U-17 Africa Cup of Nations), michuano ambayo imepangwa kufanyika nchini Gabon.