Mume amuua mkewe kwa kipigo Muonekano wa sehemu ya Jiji la Mwanza Mwanamke mmoja amekutwa akiwa amefariki dunia chumbani kwake huku mwili wake ukiwa na majeraha baada ya kupigwa na mumewe, wilayani ilemela mkoani Mwanza. Read more about Mume amuua mkewe kwa kipigo