TAKUKURU yaokoa mabilioni ya fedha za umma

Rais Magufuli amepokea ripoti ya mwaka 2015/2016 ya utendaji kazi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) iliyowasilishwa kwake na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Kamishna Valentino Mlowola.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS