Mwendawazimu anaweza asipongeze hili : Lema
Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema amefunguka kuwa hakuna mtu anayepinga ulindwaji wa rasilimali za nchi hii na kudai labda mwendawazimu ndiye anayeweza kupinga, na kuongeza kuwa shida ipo kwenye namna ya ulindaji wa rasilimali hizo.

