Ndoa haijanipoteza - Amini
Mkongwe wa R&B na mwenye 'hit song' ya 'Radio', Amini amefunguka kwa kusema kimya chake hakitokani na ndoa aliyoifunga siku za nyuma bali alikuwa anajiandaa vizuri kimuziki ili aweze kumudu upepo wa muziki unavyoenda kwa sasa.

