VIDEO: Siwezi kuwa kama Ben Pol - Belle 9
Msanii wa bongo fleva Belle 9 mwenye 'hit song' ya 'Ma Ole' alioshirikiana na G Nako amefunguka kwa kusema hawezi kufanya 'promo' ya kutangaza muziki wake kwa kupiga picha zitakazo kuwa zinamuonesha mwili wake kama alivyofanya Ben Pol hivi karibuni.

