Dully afichua siri ya kumiliki studio

Dully Sykes

Mkongwe wa bongo fleva Dully Sykes 'Mr Misifa' na  hitmaker ‘Yono’ amefunguka sababu kubwa ya kufungua studio ni kuepuka usumbufu wa kurekodi pale anapokuwa amepata mzuka pamoja na uhuru wa kujifanyia kazi zake kama msanii kwa muda wowote.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS