Nitawaaga Yanga kwa amani - Niyonzima
Kiungo wa kimataifa wa Rwanda anayekipiga katika klabu ya Dar es Salaam Young Africans (Yanga) Haruna Niyonzima amefunguka na kusema yeye atawaaga wana Yanga kwa amani wakati huo utakapofika kwa kuwa ameishi nao kwa muda mrefu kwa upendo na amani.

