Hospitali wameiba dawa za kulevya - Sirro
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro amefunguka kuwa wahudumu wa mochwari ya Mwananyamala wameiba jumla ya kete 32 za dawa za kulevya zilizokuwa kwenye mwili wa raia wa Ghana aliyefariki dunia akiwa katika nyumba ya wageni.

