WAMESIMAMISHWA
Wachezaji wa Yanga Deus Kaseke, Samon Msuva na Obrey Chirwa wa Yanga wamesimamishwa kucheza mechi za Ligi Kuu wakati wakisubiri suala lao la kumsukuma Mwamuzi katika mchezo huo dhidi ya Mbao FC, kutolewa uamuzi na Kamati ya Nidhamu ya TFF.
