Hatukususia tuzo - Kaburu

Makamu wa Rais wa klabu ya Simba, Geofrey Nyange 'Kaburu'

Makamu wa Rais wa klabu ya Simba, Geofrey Nyange 'Kaburu' amekanusha tetesi za timu yake kususia hafla ya kupokea Tuzo za Ligi Kuu Tanzania Bara na kusema wao wapo nje ya mji wa Dar es Salaam kwa ajili ya maandalizi ya fainali yao dhidi ya Mbao FC

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS