Tutanyolewa bila maji - Tundu Lissu Tundu Lissu Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu ameibuka na kuishauri serikali jambo la kufanya kutokana na matokeo ya uchunguzi wa mchanga wa madini uliofanywa na kamati ilyoundwa na Rais John Magufuli. Read more about Tutanyolewa bila maji - Tundu Lissu