Baraka amchana Ben Pol Baraka Kushoto kulia ni Ben Pol Baraka The Prince amemchana msanii mwenzake, Ben Pol kwa kumwambia hakuna chochote alichokifanya katika kazi yake mpya inayokwenda kwa jina la 'Tatu' licha ya kutengeneza kiki kubwa mitandaoni. Read more about Baraka amchana Ben Pol