Stamina aibuka kumtetea Vanessa
Rappa Stamina amekanusha vikali tuhuma za kushindwana na mwanamuziki Vanessa Mdee kurekodi wimbo walioshirikiana kwa madai ya kutofautiana juu ya 'director' wa kufanya naye kazi na kusema kuwa wimbo wao haujakamilika watu wasimchafue msanii huyo.

