Jumatano , 26th Apr , 2023

Rais Samia Suluhu leo ametoa msamaha kwa wafungwa 376 huku sita kati yao wakiachiwa huru leo na wengine watabaki gerezani kumalizia sehemu ya kifungo kilichobaki baada ya kupewa msamaha.

Rais Samia Suluhu Hassan

Rais Samia ametoa msamaha huo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanzania Bara.