Rais awatake radhi wanafunzi wa UDOM - Zitto Kabwe
Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe amemtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,. John Magufuli kuwataka wazazi na wanafunzi waliosimamishwa masomo Chuo Kikuu Dodoma kwa kuwaita vilaza kwan ujumla wao.
