Marekani yachapwa Copa Amerika Brazil ikibanwa leo
Michuano maalumu ya kombe la kuadhimisha miaka 100 ya michuano ya Copa Amerika imeanza kwa matokeo ya kustusha kwa baadhi ya timu zilizopewa nafasi ya kufanya maajabu katika michuano hiyo ya kihistoria zikianza kwa vipigo na sare katika michezo yao.

