Naibu Kamishna wa polisi na Mkuu wa operesheni maalum za polisi, Daniel Nyambabe
Serikali ya Tanzania imesema utaongeza juhudi za ulinzi wa amani hususani katika nchi za maziwa makuu ili kyukabiliana na changamoto zinazowakabili walinzi wa amani katika maeneo hayo.