Polisi Mwanza yauwa majambazi watatu. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Ahmed Msangi Majambazi watatu wameuwa katika majibizano ya risasi na askari polisi alfajiri ya kuamkia leo katika mapango ya mlima wa Utemini wilayani Nyamagana mkoani Mwanza.. Read more about Polisi Mwanza yauwa majambazi watatu.