Magufuli awaalika wawekezaji kutoka China
Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewaalika wawekezaji kutoka Jimbo la Jiangsu la nchini China kuungana na Tanzania katika utekezaji wa mpango wa ujenzi wa viwanda na ujenzi wa miundombinu hususani reli.
