Ajenda za ACT Wazalendo kwa wananchi leo hizi hapa
Chama cha Act Wazalendo leo kinafanya mkutano wa hadhara jijini Dar es salaam eneo la Mbagala Zakhem ikiwa ni siku chache tangu kusimamishwa kwa wabunge 7 wa upinzani kutohudhuria vikao vya Bunge vinavyoendelea Mjini Dodoma.

