Mkenda;Wafanyabiashara zingatieni ubora.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Profesa Adolf Mkenda, ameawataka Watanzania kushiriki na kujifunza namna ya utengenezaji wa bidhaa zenye ubora wa viwango kupitia maonyesho ya bidhaa mbali mbali kutoka nchini Misri.