Tumuenzi Ngwea: Stara Thomas Msanii wa Bongo fleva na muziki wa Injili Stara Thomas Msanii mkongwe wa Bongo fleva ambaye kwa sasa ameamua kujiingiza katika muziki wa Injili Stara Thomas amewataka wasanii na mashabiki kumuenzi rapa Albert Mangwea. Read more about Tumuenzi Ngwea: Stara Thomas