Rais Rajoelina alaani jaribio la mapinduzi Katika taarifa yake kwenye akaunti rasmi ya mtandao wa kijamii ya rais, ofisi ya Rajoelina imesema inalaani majaribio ya kuyumbisha nchi na kuhimiza mazungumzo kutatua mgogoro huo. Read more about Rais Rajoelina alaani jaribio la mapinduzi