Pakistan, Afghanistan zafungiana mipaka, 70 wauawa
Afghanistan ilisema katika taarifa kuwa imewaua wanajeshi 58 wa Pakistani, lakini haikutoa maelezo kuhusu jinsi ilivyojua kuhusu majeruhi. Pia ilisema kuwa wanajeshi 20 wa Afghanistan waliuawa au kujeruhiwa.

