Tuzo ya Nobel yaenda kwa Maria Corina Machado Maria Corina Machado kutoka Venezuela ameshinda Tuzo ya Amani ya Nobel 2025 Kutokana na kazi ya kukuza haki za kidemokrasia nchini Venezuela. Read more about Tuzo ya Nobel yaenda kwa Maria Corina Machado