Mazungumzo kuhusu dhamana ya viza yaendelea “Pamoja na hatua ya Marekani kutangaza kuanzisha utaratibu wa dhamana za visa kwa raia wa Tanzania watakaoomba viza tajwa hapo juu, serikali inapenda kuuhakikishia umma kwamba itaendelea na majadiliano" Read more about Mazungumzo kuhusu dhamana ya viza yaendelea