Ombi la Kibatala kuhusu Polepole kusikilizwa Okt 9 Hati iliyosajiliwa ya mwaka 2025 na kupewa namba 24514 baada ya kupokelewa kwa maombi hayo itasikilizwa mbele ya Jaji Salma Maghimbi, siku ya kesho Alhamis Oktoba 9. Read more about Ombi la Kibatala kuhusu Polepole kusikilizwa Okt 9