Hamas na Israel zasaini makubaliano kusitisha vita Maafisa wa pande zote mbili wamethibitisha kusaini makubaliano hayo kufuatia mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja katika eneo la mapumziko la ufukwe la Sharm el-Sheikh nchini Misri. Read more about Hamas na Israel zasaini makubaliano kusitisha vita