Ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua mama yake wa kambo
Tatizo anatuhumiwa kutenda tukio hilo Oktoba 6, 2025 saa 2:00 asubuhi huko katika Kijiji cha Mapinduzi, Kata ya Masoko, Tarafa ya Isangati, Mkoani Mbeya, kwa kumuua Merry Yohana, ambaye pia alikuwa mkazi wa Masoko alikuwa mwenye ualbino.

