Jaji apigwa risasi Mahakamani

Jaji mmoja nchini Albania ameuawa kwa kupigwa risasi baada ya mtu mmoja kufyatua risasi wakati wa kesi katika Mahakama ya Rufaa katika mji mkuu wa Tirana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS