NIC yaendelea kutetea Ubingwa Netball A. Mashariki
Mabingwa watetezi wa michuano ya mpira wa pete kwa nchi za Afrika ya Mashariki, Timu ya Bima NIC ya nchini Uganda imeendelea kuutetea vema ubingwa wake baada ya kuendeleza ushindi katika michuano inayoendelea Visiwani Zanzibar.