Tanzania yapokea vifaa vya kupambana na Ujangili

Waziri wa Maliasili na utalii Lazaro Nyalandu.

Tanzania imepokea silaha za kivita bunduki aina ya AK 47 pamoja na magari matano aina ya land cruiser pickup, vifaa vitakazosambazwa katika mapori ya akiba pamoja na vikosi vya kupambana na ujangili ili kukabiliana na matukio ya mauaji ya ujangili.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS