Sserunkuma kujiunga na Simba leo Mchezaji wa Kimataifa anayechezea Klabu ya Simba, Daniel Sserunkuma anatarajia kujiunga na kambi leo akitokea nchini Uganda ambapo aliomba ruhusa kwa ajili ya kwenda kumaliza matatizo ya kifamilia. Read more about Sserunkuma kujiunga na Simba leo