Benki ya Dunia kusaidia Maendeleo Tanzania Makao makuu ya benki ya Dunia. Serikali ya Tanzania leo imetiliana saini ya Mkopo wa Shilingi Billion710 toka Benki ya Dunia kwa ajili ya miradi mitatu mikubwa ya Maendeleo hapa nchini. Read more about Benki ya Dunia kusaidia Maendeleo Tanzania