Okwi aipa Simba ushindi dhidi ya Yanga

BAO la dakika ya 51 lililofungwa na mshambuliaji Emmanuel Okwi, lilitosha kuipa pointi tatu timu ya Simba iliyokuwa ikipambana na Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania bara uliochezwa uwanja wa taifa Dar es Salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS