Planet Bongo
Kati ya wanamuziki wa Bongo Flava wanaofanya vizuri kwasasa ni huyu hapa Madee mwanamuziki kutoka Tip Top Connection kwasasa anatamba na wimbo wake mpya unaitwa Vuvula ,mengi kaongea usikose kuangalia Planet Bongo juma tatu hii saa 9:00pm hapa EATV