Mike Tee apata shavu Australia Star wa muziki Mike Tee ambaye mbali na muziki anajishughulisha pia na biashara ya bidhaa zinazotengenezwa hapa hapa nchini, amejipatia shavu kuzishirikisha katika Tamasha kubwa la watu weusi huko nchini Australia. Read more about Mike Tee apata shavu Australia