Banky W kumng'arisha Shaydee
Matunda ya staa wa muziki Banky W kusomea utayarishaji Video nchini Marekani, yameendelea kuonekana ambapo star huyo amemaliza kazi nyingine mpya ya utengenezaji video ya msanii Shaydee ambaye wapo naye chini ya lebo moja.