Hemedy kubadilika ndani ya miaka 3 Hemedy PHD Star wa muziki na filamu, Hemedy PHD amefunguka juu ya mtazamo mpya wa maisha yake ambapo amesema katika umri alioufikia, amebakiza miaka 3 tu kutengeneza maisha ya baadaye ambayo yanaeleweka kwa jamii. Read more about Hemedy kubadilika ndani ya miaka 3