Kilimanjaro yaongoza Ukatili wa Kijinsia
UKATILI wa Kijinsia unaongoza Mkoa wa Kilimanjaro ni wa utelekezaji familia, ambapo akina baba huwafukuza wake zao na watoto bila kujali watalala na kula wapi, jambo linalochangia ongezeko la watoto wa mtaani.