Simba, Prisons kukutana Taifa kesho Ligi kuu soka Tanzania Bara inaendelea kesho kwa timu ya Simba kuwakaribisha wajelajela Tanzania Prisons mechi itakayopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Read more about Simba, Prisons kukutana Taifa kesho