Elimu ya Zimamoto Changamoto kwa Wananchi Kikosi cha Zima moto kikiwa katika harakati za kuuzima moto Imeelezwa kuwa uelewa mdogo wa wananchi kuhusiana na kazi za kikosi cha zima moto ndiyo changamoto kubwa inayokikabili kikosi hicho mkoani Dodoma. Read more about Elimu ya Zimamoto Changamoto kwa Wananchi