Radio na Weasel walamba tuzo
Radio na Weasel, mastaa wa muziki kutoka nchini Uganda wamefanikiwa kushinda tuzo ya Honesty Oscar katika kipengele cha Wimbo Bora wa Kiharakati kutokana na wimbo wao kuvutia wengi na kubeba ujumbe mzito kupinga masuala ya rushwa.