Chidi Benz aepuka kwenda jela Chidi Benz Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Rashidi Abdallah Makwaro Maarufu kama 'Chid Benz' leo amehukumiwa kifungo cha miaka mwili jela au kulipa faini ya shilingi laki tisa. Read more about Chidi Benz aepuka kwenda jela