AT aomba sapoti ya Serikali

AT

Staa wa muziki AT, amesema kuwa bado kuna umuhimu mkubwa wa serikali kutoa sapoti kwa ajili ya kutangaza wasanii na kazi zao nje ya nchi, kutokana na utajiri mkubwa na utofauti wa muziki kutoka hapa Tanzania.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS