Mwasikili-Tuandaliwe mechi nyingi,tucheze soka nje
Nahodha wa Timu ya Taifa ya wanawake, Sophia Mwasikili amesema wachezaji wa kike wanakosa nafasi za kucheza soka la kulipwa zinakuwa ngumu kutokana na kutokuwa na mshindano ya kutosha kwa timu za wanawake hapa nchini.