DRHA- Serikali itasaidia kukuza vipaji vya Hockey
Chama cha mpira wa Magongo Mkoa wa Dar es salaam kimesema serikali itasaidia kuendeleza programu mpya ya kutoa mafunzo ya mchezo wa mpira wa magongo kwa kukuza na kupata vipaji vipya katika mchezo huo.